![]() |
| Aliyekuwa waziri wa fedha, kaunti ya Mombasa, Walid Khalid |
Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Joho amekariri kuwa amechukua hatua hiyo baada ya misururu ya Khalid kukumba na madai ya ukiukaji wa sheria za utoaji zabuni na ununuzi wa mahitaji ya serikali ya kauti ya Mombasa.
Awali wabunge wa kaunti ya Mombasa waliwasilisha hoja ya kutokuwa imani na Khalid huku wakidai kuwa hawajapendezwa na utendakazi wake.
Kwa sasa Gavana Joho amemteua waziri wa vijana na michezo, Hazel Koitaba kuwa kaimu waziri wa fedha huku gavana huyo akisubiriwa kumteuwa waziri mpya wa fedha.

No comments:
Post a Comment